Salaam
Karibuni sana wapenzi wasomaji wangu na mashabiki wakubwa wa habari za uchambuzi wa kisiasa nchini Tanzania.Kwa mara nyingine tena ni mimi mwandishi wenu mfatiliaji wa karibu na mchambuzi wa duru za kisiasa zinazojiri nchini Tanzania kila siku na kila wakati.Katika safu hii nitakuwa nikiwaleteeni makala motomoto za uchambuzi wa mambo yanayojiri hapa nchini na kwingineko.Karibuni sana